Header AD

BONGO MOVIES YAICHAKAZA BONGO FLEVA KATIKA TAMASHA LA MATUMAINI UWANJA WA TAIFA

Glorious Celebration wakiingia jukwaani.
...wakiwa jukwaani.
...Burudani zikiendelea. Kundi la Glorious Celebration likifanya makamuzi katika Tamasha la Matumaini ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam muda huu.
Wachezaji wa Bongo Movie na mashabiki wake wakishangilia bao lao lililofungwa na Kiduko.

Timu zikiingia uwanjani.
Benchi la Bongo Movie.
Mchezaji wa Bongo Fleva akiwa chini wakati mechi ikiendelea. (PICHA NA ERICK EVARIST/GPL)
Reviewed by crispaseve on 06:07 Rating: 5

No comments

Post AD