GARI LA ZIMAMOTO LAPATA AJALI LEO
Gari la zimamoto la Manispaa ya jiji la Dar es Salaam likiwa limepata ajali katika barabara ya Morogoro jijini Dar es Salaam majira ya asubuhi.
Hali ndivyo ilivyokuwa.
Barabara ilikuwa imefungwa na kusababisha msongamano mkubwa.
Magari yakiwa katika msongamano mara baada ya kutokea ajali na kusababisha kufungwa kwa barabara.
Mtangazaji wa ITV, Bw. Sam Mahela akifanya mahijiano na Kaimu Kamishna wa Usalama wa Umma Bw. Fikiri akielezea jinsi tukio lilivyotokea.Picha Na Kajunason Blog
Reviewed by crispaseve
on
08:01
Rating:
Post a Comment