Header AD

JALI YA MELI YA SEAGULL YASABABISHA BUNGE KUSITISHWA

Spika wa Bunge, Anne Makinda leo jioni amesitisha shughuli za bunge kufuatia ajali ya meli ya Mv Seagull, iliyozama leo katika Bahari ya Hindi ikitokea Dar es Salaam kwenda Pemba,'. Abiria wapatao 250 wanahofia kufa. Lakini habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba watu 12 wameopolewa wakiwa wamekufa.
Reviewed by crispaseve on 01:36 Rating: 5

No comments

Post AD