Header AD

JK akutana na Rais Kabila pamoja na Naibu Waziri Mkuu wa Ubelgiji

 RaisDkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Joseph Kabila wa Jamhuri yakidemokrasia ya Kongo(DRC) mjni  Bujumbura Burundi ambapo walifanya mazungumzo.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Naibu Wazirimkuu wa Ubelgiji  Bwana Didier Reyndersmjini Bujumbura Burundi leo baada kufanya mazungumzo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Katibumkuu wa Maziwa Makuu Professa Ntumba Luaba Alphonse mjini Bujumbura Burundileo
Reviewed by crispaseve on 01:12 Rating: 5

No comments

Post AD