Header AD

MDAU WA FULLSHANGWEBLOG ANAREJEA KESHO KAZINI JIJINI DAR ES SALAAM

Wadau kesho narejea mahali pangu pa kazi jijini Dar es salaam kutoka mkoani Mbeya ambako nilikuwa na  kazi ya kumuvuzisha matukio ya tamasha la Serengeti Fiesta soccer Bonanzan ikiwa ni shughuli za awali kabla ya tamasha la Serengeti Fiesta 2012 lililozinduliwa wiki hii kwenye viwanja vya Leaders jijini Dar es salaam.

Tunaomba radhi kama kutakuwa na ucheleweshwaji wa aina yoyote katika kuwaletea matukio kwani kwa muda mwingi nitakuwa njiani nikielekea jijini Dar es salaam.
Reviewed by crispaseve on 05:38 Rating: 5

No comments

Post AD