Header AD

Mkazi wa tanga akabidhiwa jenerata yake aliyojishindia promosheni ya vumbua hazina chini ya kizibo ya sbl.

Bw. Salvatory Herald wa pili kutoka kushoto akipongezwa na ndugu, jamaa na marafiki pamoja na baadhi ya wakazi wa tanga waliohudhuria katika hafla fupi ya kukabidhiwa zawadi ya jenereta mpya aliojishindia kupitia promosheni ya VUMBUA HAZINA CHINI YA KIZIBO NA SBL, inayoendeshwa na kampuni ya bia ya Serengeti hapa nchini. 
Meneja masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti Bw Eben Sauli kushoto akimpongeza Salvatory Herald baada ya kumkabidhi zawadi ya jenereta aliojishindia .
Bw Salvatory akieleza hisia zake baada ya kukabidhiwa jenereta kutoka sbl.
Reviewed by crispaseve on 08:27 Rating: 5

No comments

Post AD