Header AD

PINDA AKUTANA NA DANGOT-MWEKEZAJI TOKA NIGERIA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Mwekezaji kutoka Nigeria, Bw.Aliko Dangote  (kulia) ambaye anakusudia kujenga kiwanda cha saruji mkoani Mtwara, baada ya mazungumzo yao jijini Dar es salaam Julai 15,2012.Kushoto ni Balozi wa Nigeria nchini, Dr. Ishaya  Manjabu.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Reviewed by crispaseve on 11:35 Rating: 5

No comments

Post AD