Header AD

RAIS KIKWETE AHUDHURIA MKUTANO WA UMOJA WA MATAIFA WA AFRIKA MJINI ADDIS ABABA

 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akihudhuria kikao cha Ulinzi na Usalama cha Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa Ethiopia. Kulia ni Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na kiongozi wa ujumbe wa wafanyabiashara kutoka nchini China Bwana Quan Zhezhu wakati walipokutana jijini Addis Ababa Ethiopia.
Rais Dkr.Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na ujumbe wa wafanyabiashara wakubwa kutoka China. Picha Freddy Maro wa Ikulu
Reviewed by crispaseve on 11:33 Rating: 5

No comments

Post AD