Header AD

RAIS KIKWETE AKUATANA NA MKUU WA MADHEHEBU YA SHIA ISAMAILI DUNIANI H.H. THE AGA KHAN IKULU LEO

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akipeana mikono na  Mkuu wa madhehebu ya Shia, Ismailia duniani, H.H. Karim Aga Khan, wakati alipomkaribisha Ikulu jijini Dar es salaam leo kwa mazungumzo na baadaye chakula cha mchana.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa katika mazungumzo na  Mkuu wa madhehebu ya Shia Ismailia duniani,H.H. Karim Aga Khan, wakati alipomkaribisha Ikulu jijini Dar es salaam leo kwa mazungumzo na baadaye chakula cha mchana.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha kwa chakula cha mchana  Mkuu wa madhehebu ya Shia Ismailia duniani,H.H. Karim Aga Khan, na ujumbe wake wakati alipomkaribisha Ikulu jijini Dar es salaam leo kwa mazungumzo na baadaye chakula cha mchana
Reviewed by crispaseve on 01:36 Rating: 5

No comments

Post AD