Header AD

SPIKA WA BUNGE LA TZ,ATOA POLE KWA RAIS WA ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akipokea Salam za Rambi rambi kutoka Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Anne Makinda,akiongoza Ujumbe wa Wabunge hilo walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kutoa  pole kwa Rais,kutokana na msiba wa ajali ya Meli ya Mv Skagit ya Kampuni ya Segul iliyozana juzi Ikitokea Dar es Salam na kuelekea Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Spika wa  Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Anne Makinda,pamoja na Ujumbe Wabunge aliofuatana nao wakati walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kutoa  pole kwa Rais,kutokana na msiba wa ajali ya Meli ya Mv Skagit ya Kampuni ya
Segul iliyozana juzi Ikitokea Dar es Salam na kuelekea Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Anne Makinda,akiongoza Ujumbe wa Wabunge hilo walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kutoa  pole kwa Rais,kutokana na msiba wa ajali ya Meli ya Mv Skagit ya Kampuni ya Segul iliyozana juzi Ikitokea Dar es Salam na kuelekea Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Reviewed by crispaseve on 04:21 Rating: 5

No comments

Post AD