Header AD

Meneja mauzo na masoko wa kampuni ya Megatrade, Gudluck Kway, akimkabidhi Katibu wa TASWA Arusha , Mussa juma, hundi ya sh 1.5 milioni, kama udhamini wa Kampuni hiyo katika bonanza la waandishi wa habari Kanda ya Kaskazini, ambalo litafanyika julai 15 mwaka huu, makabidhiano hayo, yalifanyika palace Hoteli mjini Arusha.
Katibu wa TASWA Arusha , Mussa juma, akizungumza baada ya kupokea hundi ya sh 1.5 milioni, kama udhamini wa Kampuni hiyo katika bonanza la waandishi wa habari Kanda ya Kaskazini, ambalo litafanyika  Palace Hoteli mjini Arusha.Meneja mauzo na masoko wa kampuni ya Megatrade, Gudluck Kway,
Reviewed by crispaseve on 01:13 Rating: 5

No comments

Post AD