Header AD

TUME YA UKUSANYAJI WA MAONI YA KATIBA MPYA YAENDELEA KUFANYA KAZI YAKE ZANZIBAR

Wajumbe wa kukusanya maoni ya Katiba mpya wakiandika maoni ya wananchi huko katika Kijiji cha Muyuni Mkoa wa Kusini Unguja.
Wananchi mbalimbali waliohudhuria katika utoaji wa Maoni huko katika Kijiji cha Muyuni Mkoa wa Kusini Unguja.
Wananchi mbalimbali waliohudhuria katika utoaji wa Maoni huko katika Kijiji cha Muyuni Mkoa wa Kusini Unguja.
Mwananchi wa Kijiji cha Muyuni Shukuru Ramadhani akitoa maoni yake kuhusu katiba mpya huko katika Kijiji cha Muyuni Mkoa wa Kusini Unguja.
Mwenyekiti wa Ukusanyaji maoni ya Katiba Mpya Mohd Yussuf Mshamba akifahamisha namna ya utoaji wa maoni unavyotakiwa huko katika kijiji cha Muyuni Mkoa wa Kusini Unguja.
Mwananchi wa Kijiji cha Muyuni Mwanapili Haji Mussa akipeleka maoni yake kwa njia ya Barua yanayohusu uundwaji wa katiba Mpya kwa wajumbe wa Ukusanyaji maoni hayo huko Muyuni Mkoa wa Kusini Unguja.Picha Kwa Hisani ya Full Shangwe Blog
Reviewed by crispaseve on 08:22 Rating: 5

No comments

Post AD