Header AD

WAZIRI MKUU PINDA ASHIRIKI MAZISHI YA SHEMEJI YAKE, MZEE SADIK KATILA- MPANDA

 Waombolezaji wakiwa wamebeba mwili wa Mzee Sadik Ismail Katila, shemiji yake Waziri Mkuu Mizengo Pinda, katika mazishi yaliyofanyikaMjiniMpanda Julai 10, 2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka udongo kwenye kaburi la shemeji yake, Mzee Sadik Ismail Katila katika mazishi yaliyofanyika mjini Mpanda Julai 10,2012.
Reviewed by crispaseve on 03:30 Rating: 5

No comments

Post AD