Header AD

Waziri wa Uchukuzi Dk Harrison Mwakyembe Akutana na Viongozi wa TRL na Wa Chama cha Wafanyakazi wa Reli TRAWU na Kutembelea Karakana ya TRL.

 Waziri wa Uchukuzi Dk Harrison Mwakyembe akitambulishwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TRL Mhandisi Kipallo Aman Kisamfu kwa viongozi wa TRL na wale wa Chama cha Wafanyakazi wa Reli TRAWU mara alipowasili katika Karakana ya TRL.
Waziri Mwakyembe akipata maelezo ya jinsi ya ukarabati wa mabehewa 14 unavyoendelea kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TRL Mhandisi Kipallo Aman Kisamfu wa kwanza kulia.
 Viberenge viwili malum vikijitayarisha kuondoka kuelekea Ubungo wakati wa ukaguzi wa njia ya reli ambayo itatumiwa na treni ya abiria ya Wakazi wa jiji la Dar es Salaam inayotarajiwa kutoa huduma hapo Oktoba mwaka huu.
 Baadhi ya mabehewa yanayokarabatiwa kwa ajili ya huduma ya usafiri kwa Wakazi wa jiji la Dar.
Viberenge viwili malum vikijitayarisha kuondoka kuelekea Ubungo wakati wa ukaguzi wa njia ya reli ambayo itatumiwa na treni ya abiria ya Wakazi wa jiji la Dar es Salaam inayotarajiwa kutoa huduma hapo Oktoba mwaka huu.
Reviewed by crispaseve on 06:54 Rating: 5

No comments

Post AD