Header AD

YANGA BINGWA WA KOMBE LA KAGAME YAIKANDAMIZA AZAM GOLI 2-0 NA KUNYAKUA UBINGWA

Kipre Cheche kulia Mchezaji wa timu ya Azam FC akikokota mpira mbelea ya beki wa Yanga Nidir Haroub Canavaro wakati wa mchezo wa fainali ya kombe la Kagame inayofanyika kwenye uwanja wa Taifa jioni hii, mpira umekwisha na timu ya Yanga imefanikiwa kutetea kombe la Kagame kwa mara ya pili mfurulizo baada ya kuitandika timu ya Azam FC goli 1-0 jioni hii.
Mashabiki wa timu ya Yanga wakishangilia mara baada ya timu yao kupata goli la kuongoza katika mchezo huo.
Mgeni rasmi mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Said Meck Sadik akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Yanga na Azam FC pamoja na maafisa wa CECAFA na wachezaji wa timu zote m,bili.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam akielekea kukagua timu kabla ya mchezo huo kuanza kulia ni , Crecentius Magori kushoto Makamu Mwenyekiti wa timu ya Yanga Clement Sanga na katikati ni Mwenyekiti wa Azam FC mzee Mohamed Said
Timu zikiingia uwanjani kuanzaq mpambano huo.
Reviewed by crispaseve on 08:21 Rating: 5

No comments

Post AD