Header AD

YANGA YAIBAMIZA EL-SALAM YA SUDANI KUSINI MABAO 7-1

 Ubao wa Uwanja wa Taifa, ulivyokuwa ukionesha matokeo baada ya mechi ya Yanga na Eli- Salaam ya Sudani Kusini katika mashindano ya Kombe la Kagame

 Mchezaji Ismail Juma (kushoto) wa Sudan Kusini, akigombea mpira na  Khamis Kiiza wa Yanga.


 Mchezaji Hamis Kiiza (katikati) wa Yanga, akitaka kuwatoka wachezaji wa El-Salam Wau ya Sudan Kusini katika mashindano ya Kombe la Kagame, jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda mabao 7-1.

                                   Mwenyekiti mpya wa Yanga, Yusufu Manji akishuhudia pambano la Yanga na El Salam

Reviewed by crispaseve on 00:45 Rating: 5

No comments

Post AD