UPCOMING ARTIST FROM ILALA;
Historia fupi ya Dogo H
Anaitwa Hassan Seleman Kutoka Dar es salaam Ilala wana wakilisha
Home town Mbeya city.Ana elimu ya kidato cha kwanza ana umri wa miaka 16
shule ya sekondari Furaha
Anatambulisha nyimbo mbili za bongo fleva.Hanahitaji sapoti ya hali na mali kwasababu ni bado mwanafunzi na anachangamoto nyingi za za mziki huu wa bongo fleva Ndani na nje.
Malengo:
Anafikiria kufika mbali zaidi kimataifa na hata mafanikio kama wasanii wakubwa lakini hatafikaje? swali ni wewe na mimi katika kufanikisha malengo ya chipukizi huyu;
kwa mawasiliano zaidi juu ya usimamizi,fedha za studio na hata mahitaji mengine kwasabu mziki gharama.
+255 0719 127 883
+255 0713 757 428
Track za ni hizi hapa news toka studio
Artist:Dogo H ft/ COS B
Song:Wanaongea
producer:Sevento
Studio:Kush Records
Dogo H Easy Man ft.Inspector Harun
Song: Wazazi
producer:Double B
Studio:Snai Records
Reviewed by crispaseve
on
04:53
Rating:


Post a Comment