Header AD


HAYA NDIYO BAADHI YA MATUKIO VURUGU ZA WANANCHI KUPINGA KUSAFARISHWA KWA GESI KUTOKA MTWARA KWENDA DAR ES SALAA.



Mkazi wa Mtwaa akiwa anatimua mbio huku akiwa na mtoto baada ya kupigwa kwa bomu la machozi, kazi kweli kweli. 
Nyumba ikiwa imebomole
wa baada ya kuchomwa moto.
Gari likiteketea kwa moto
Barabara ikiwa imewekwa vizuriwizi wakati wa vurugu hizo na kusababisha huduma mbalimbali za kijamii kudorola siku ya Mei 22/ 2013.
Reviewed by crispaseve on 10:40 Rating: 5

No comments

Post AD