Header AD

RAIS KIKWETE AKUTANA NA WASHIKADAU WA SMART PARTNESHIP JANA IKULU

 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea kwenye hafla ya kuchangisha fedha kwa ajili ya mkutano wa Smart Partnership  Mei 3, 2013 Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na washikadau toka katika mashirika binafsi na ya umma  walioalikwa katika hafla ya kuchangisha fedha kwa ajili ya mkutano wa Smart Partnership Mei 3, 2013 Ikulu jijini Dar es salaam.PICHA NA IKULU
Reviewed by crispaseve on 04:57 Rating: 5

No comments

Post AD