BIG BROTHER AFRICA THE CHASE:MSHIRIKI KUTOKA TANZANIA AMIR NANDI AJIACHIA BAFU MOJA NA BI MDADA KUTOKA NAMIBIA DILLISH.
Jana (May 29) ilikuwa ni usiku wa tatu katika jumba la
big brother Afrika huko Afrika Kusini mengi yanazidi kuonekana na sasa
washiriki wengi wanaanza kuonesha side B ya mioyo yao na kujaribu kupata
muda wa kuwa romantic na kuonesha upendo (Romantic time).
Wakati washiriki wengine wakiendelea na mambo yao mtanzania Ammy Nando alijiachia kwenye bafu moja na na kuoga na mrembo Dillish kutoka na Namibia ambae ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu akisomea Saikolojia.
Wakati washiriki wengine wakiendelea na mambo yao mtanzania Ammy Nando alijiachia kwenye bafu moja na na kuoga na mrembo Dillish kutoka na Namibia ambae ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu akisomea Saikolojia.
Huenda huu ukawa mwanzo wa mahusiano yao humo ndani kwa sababu moyo
hauna pazia na uruzi wa Dillish unaweza kumvuta to the limit model huyo
wa kitanzania.
Kwa upande mwingine the boss lady toka Kenya Huddah Monroe alipata
nafasi ya kushare na Denzel mawili matatu hasa kuhusu mahusiano, wakati
Denzel akiwa ameonesha tangu mwanzo kudata kwa Huddah. Jana Huddah
alifunguka na kumwambia kuwa anahitaji mwanamme mwenye pesa na kwamba
she is a gold digger. Lakini second kadhaa baadae akafuta kauli yake na
kumwambia kuwa alikuwa anatania. Really?!
Wiki hii Benzel, Betty, Huddah, Selly na Natasha wako katika nafasi kukumbwa na Eviction.
Reviewed by crispaseve
on
06:28
Rating:
Post a Comment