Header AD

BREAKING NEWZ: OMMY DIMPOZ APIGWA DODOMA.

Katika hali isiyo ya kawaida msanii Omary Faraji Nyembo almaarufu kama Ommy Dimpoz amepigwa na mawe,chupa za mkojo pamoja na kumwagiwa mchanga na maelfu ya mashabiki waliofika katika uwanja wa  Jamhuri Dodoma alipokuwa akiperform kwenye moja ya show za tour ya KTMA 2013.........hali hyo imekuja baada ya siku kadhaa zilizopita Ommy kureportiwa na moja ya magazeti pendwa hapa Tanzania akimkashifu Marehem Albert Mangwea kwa kusema amechoka kuzika wasanii Maskini.
Inasemekana jamaa imembidi akimbie na kuvua viatu kabisa baada ya mabaunsa kushndwa kuthibiti hasira za watu.........

Inasemekana wakati ndo anapanda jukwaani akaanza kujistukia akataka kuapologize
kwa alichokiongea,basi maraia wakaanza kumzomea kinoma huku
wakimuonyeshea kidole cha kati,walivyoona hashuki wakaanza kurusha
makopo, vyupa na mawe,ikabidi asande ashuke maana ilishakuwa
soo,wasanii wetu waangalie kauli zao wanaweza kukosa mashabiki
kabisa,over
 
Source;Mdau Dodoma & JamiiForum
Reviewed by crispaseve on 13:58 Rating: 5

No comments

Post AD