Header AD

HAFLA JOHNNIE WALKER MENTORSHIP YAFUNIKA MBAYA DAR

JW 1
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Steve Gannon (kulia) na mdau Mr. Paul (kushoto) wakiwa washika chupa ya Johnnie Walker blue labelJW 2Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Steve Gannon (wa pili kushoto) katika picha ya pamoja na Afisa mawasiliano wa SBL Bi. Hawa (wa pili kulia) wakiwa na wadau  Paul(kulia) na Mac(kushoto) waliohudhuria katika hafla ya ‘Johnnie Walker Mentorship’ iliyoandaliwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti jijini Dar es Salaam.JW 3Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti waliohudhuria hafla hiyoJW 4Mabalozi wa kinywaji cha Johnnie Walker kutoka Kampuni ya Bia ya Serengeti  wakionesha wageni waalikwa moja ya aina ya Johnnie WalkerJW 5Baadhi ya wageni waliohidhuria hafla ya Johnnie Walker Mentorship wakifuatilia kwa makini namna ya utumiaji wa Whisky aina ya Johnnie Walker kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Steve Gannon(hayupo pichani)JW 6Baadhi ya wageni waliohidhuria hafla ya Johnnie Walker Mentorship wakifuatilia kwa makini namna ya utumiaji wa Whisky aina ya Johnnie Walker kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Steve Gannon(hayupo pichani)JW 7Mtaalamu wa cocktail Mr. Mikey, akimimina mchanganyiko wake murua kabisa uliotokana na vinywaji vya Johnnie Walker Mentorship maalum kwa hafla hiyo iliyofanyika Escape Club jijini Dar es Salaam.JW 10Mtaalamu wa cocktail Mr. Mikey, akimimina mchanganyiko wake murua kabisa uliotokana na vinywaji vya Johnnie Walker Mentorship maalum kwa hafla hiyo iliyofanyika Escape Club jijini Dar es Salaam.
JW 13
Reviewed by crispaseve on 02:18 Rating: 5

No comments

Post AD