Header AD

, ITAZAME NEW ALBUM COVER YA RAPPER KANYE WEST A.K.A YEEZUS YALETA UTATA.

Image
Pichani ni Album Cover mpya ya rapper Kanye West anayokwenda kwa jina la Yeezus ambayo imezusha maswali hasa kutoka na Rapper huyo alivyofanya ishara ya kutundikwa msalabani kama alivyowekwa Masia.
Hata ivyo wadau na wapenzi wa muziki wamesema Album Cover iyo imeonyesha alama za dini ya kishetani ya Illuminati kama jinsi waumini wa dini iyo wanavyofanya, Kanye west Ni Rapper maarufu kutoka Marekani ambaye kwa sasa anajiandaa  kuitwa baba baada ya kumpachika mimba Bi. mdada Kim Kardashan, Kanye West anafahamika kwa A.K.A yake ya Yeezy lakini baada ya kutoa Album yake aliamua atupie jina la Yeezus na kupiga picha kama jinsi Masia alivyofanya na alipendekeza kumuita mtoto wake mtarajiwa jina la KHRIST pale atakapozaliwa.
Reviewed by crispaseve on 06:28 Rating: 5

No comments

Post AD