Header AD

KINANA AFUNGUA MKUTANO MKUBWA WA NDANI WA VIONGOZI WA MASHINA UWANJA MAJIMAJI SONGEA LEO

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwapungia mkono viongozi wa mashina wa ya CCM wa Mkoa wa Ruvuma, alipowasili leo asubuhi kufungua semina ya viongozi hao katika ziara ya kuimarisha uhai wa chama kwenye Uwanja wa Majimaji, Mjini Songea.
 Kinana akiwa na Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini, ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Ndani, Emmanuel Nchimbi.
Kinana akivishwa skafu baada ya kuwasili ofisi za
CCM mkoa wa Ruvuma, Mjini Songea leo
 Vijana wa kikundi cha sarakakasi wakitumbuiza  wakati wa mapokezi eneo la Tanga, wakati msafara
ukiwasili leo majira ya saa nne asubuhi..
 Ndugu Kinana, akisalimiana na viongozi wa CCM Mkoa wa Ruvuma baada ya kuwasili mjini Songea leo.
 Baadhi ya viongozi wa mashina wa CCM, wakipiga makofi wakimlaki Katibu Mkuu wa CCM, Kinana kwenye Uwanja wa Majimaji, Songea.

 Baadhi ya wanaCCM wakishangilia walipokuwa wakimlaki Ndugu Kinana kwenye uwanja huo.
                                                Ndugu Kinana akienda kuketi kukwaani

Ngoma ya Lizombe ikitumbuiza katika mkutano huo wa ndani wa viongozi wa mashina wa CCM.PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA
Reviewed by crispaseve on 05:10 Rating: 5

No comments

Post AD