Header AD

KINANA AZINDUA MRADI WA WAZAZI CCM WA MIZINGA YA NYUKI 50 MALANGALI,WANGING'OMBE

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia), akizindua mmoja kati ya mizinga 50 ya mradi wa nyuki wa kikundi cha Umoja wa Wazazi wa CCM katika Kitongoji  cha Malangali, wilayani Wanging'ombe, wakati wa ziara ya kikazi ya siku saba ya kuimarisha uhai wa chama hicho katika Mkoa mpya wa Njombe. Kinana alikisaidia kikundi hicho fedha za kununua mizinga 25.(PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye,akihutubia umati wa wananchi kwenye Uwanja wa Ludewa, Mjini Ludewa juzi, wakati wa ziara ya kikazi ya siku saba ya kuimarisha uhai wa chama hicho juzi. (PICHA NA RICHARD MWAIKEND
Reviewed by crispaseve on 06:13 Rating: 5

No comments

Post AD