Header AD

MWANAMUZIKI WA NIGERIA RAPPER WIZ KID ANUSURIKA KUFA BAADA YA GARI ALILOKUWA ANAENDESHA KUPATA PANCHA NA KUPINDUKA.

Pichani ni gari aina ya Porsche Panamera analomiliki Rapper Wiz kid muda mfupi baada ya kupata ajali.
Rapper mdogo ambaye amejipatia umaarufu mkubwa anayefahamika kwa jina la Wiz Kid siku ya tarehe 15 mwezi huu jumamosi asubuhi alinusurika kufa baada ya gari alilokuwa anaendesha aina ya Porsche Panamera kupata pancha na kufanya gari hiyo kukosa muelekeo na kuanguka.
Chanzo kinasema rapper huyo alikuwa ametoka kwenye party katika hoteli ya Oriental , Lekki, jijini Lagos ambapo kwenye gari hiyo kulikuwa na marafiki zake wachache, pia rapper huyo amepata nafasi ya kumshukuru Mungu kwa kumuepusha na ajali hiyo katika mtandao wa kijamii wa twitter.
 Source: .dstv.com
Reviewed by crispaseve on 13:02 Rating: 5

No comments

Post AD