Header AD

TAZAMA PICHA YA KWANZA IKIMUONYESHA MWANAMUZIKI M TO THE P BAADA YA KUPATA NAFUU.

Pichani ni Mwanamuziki M To The P baada ya kuruhusiwa kutoka Chumba cha wagonjwa mahututi na kuwekwa chumbwa cha wagonjwa wa kawaida baada ya kupata fahamu.
Mwanamuziki M To The P alikuwa na marehemu Ngwair nchini Afrika Kusini na watu na media mbalimbali walishatangaza kwamba M To The P amekufa jambo ambalo lilikuwa sio la ukweli.
Source:Milard ayo & Cloudsfm.com
Reviewed by crispaseve on 06:27 Rating: 5

No comments

Post AD