Header AD

TAZAMA PICHA ZA INTERVIEW YA MWANAMUZIKI DIAMOND PLATNUMZ NA SAUDA MWILIMA KATIKA KIPINDI CHA BONGO BEATS NA ALICHOSEMA KUHUSIANA NA MAANDALIZI YA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI

 
       Mwanamuziki Diamond Platnumz akiwa katika maandalizi          ya         kuhojiwa ndani ya bongoo beats  
        
   
                                            Nikiwa njiani
                                     Nashukuru nilifika on time
Nikisalimiana na dada angu Sauda akiwa na team
yake ya Bongo beat tayari kabisa kwa kuanza kipindi
…………………and action
Tunaanzatu..Sauda akaniuliza swali la
kichokozi chokozi,basi me nacheeka
Nikifafanua jambo 
Kisula bwana…ndiyo nini kupiga picha migongo
Jua lilianza kufanya yake ikatubidi tuhamie sehemu yenye kivuri kizuri
 
Siku zote huwa ni lazima nifikilie kwa umakini
kipi sahihi kujibu na kipi sahihi kuzungumza
 
Siku zote kwenye matukio mhimu kama haya n
i lazima nipendeze na behind huwa
kuna mkono wa Baby,the one&only Penny…kwani
nani ananuna hapa??
 
 
                                                                             
Baada ya zoezi kumalizika Nikiwa na team ya Bongo beat
 
                             Picha na Habari kwa hisani ya thisisdiamond.com
Reviewed by crispaseve on 12:59 Rating: 5

No comments

Post AD