Header AD

TIGO YADHAMINI MASHINDANO YA NGALAWA DAR

 Meneja wa Chapa ya Tigo, William Mpinga (katikati) akielezea katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo.kuhusu udhamini wa Tigo katika mashindano ya Mashua yatakayofanyika Juni 8, mwaka huu, kwenye Bahari ya Hindi Ufukwe wa Kijiji cha Msasani, Dar es Salaam. Kushoto ni Makamu Rais wa Chama cha Mashua Tanzania (TSA), Phillimon Nasari na John Chaluku ambaye ni Ofisa Msaidizi wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT). (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
 Ofisa Uhusiano wa Clouds FM , Simalenga Simon akielezea kuhusu udhamini wao
                         Ofisa wa BMT akizfafanua jambo kuhusu mashindano hayo
Baadhi ya wanahabari wakiwajibika katika mkutano huo uliofanyika Hoteli ya Holiday Inn
Reviewed by crispaseve on 08:05 Rating: 5

No comments

Post AD