MZUNGU KICHAA APATA MTOTO WA KIKE NA KUMPA JINA LA ‘OLIVIA’.

Mzungu Kichaa.
Espen Sørensen maarufu kama Mzungu Kichaa ambaye ni raia wa
Denmark aliyekulia nchini Tanzania amefanikiwa kupata mtoto wa kike
aliyempa jina la OLIVIA.
Kama ilivyo kawaida kwa wazazi wengi kuwa na upendo kwa
watoto wao, mkali huyo ambaye ni zao kutoka EBSS alishea na mashabiki
wake kupitia ukurasa wake wa Facebook kisha kuweka picha ya binti yake
huyo na kuadd caption iliyosomeka
”Namshukuru mungu malaika wetu amezaliwa. Jina lake ni Olivia aka Lil Kichaa. Mum and dad are also in good health. We are so happy that our baby has come into the world strong and healthy”.

MZUNGU KICHAA APATA MTOTO WA KIKE NA KUMPA JINA LA ‘OLIVIA’.
Reviewed by crispaseve
on
13:49
Rating:

Post a Comment