TWIGA BANCORP YAENDELEA KUTOA HUDUMA ZAKE NDANI YA VIWANJA VYA SABA SABA JIJINI DAR
Katika
kuboresha huduma za kibenki Twiga Bancorp,Afisa wa Benki hiyo,pichani
kati Bi Tuddy Lutengano akimhudumia mteja pichani kulia katika banda lao
lililopo kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika
katika viwanja vya Mwl.Julius Nyerere,Shoto ni Meneja wa Tawi lililopo
ndani ya Maonyesho hayo,Bi. Upendo Tendewa akihakikisha huduma bora za
kibenki zinafanyika na kukidhi haja kwa wateja wao.
Muonekano banda la Benki ya Twiga Bancorp lionekanavyo kwa nje ndani ya maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya Mwl.Julius Nyerere,jijiniDar.
Baadhi ya Wateja wakipata huduma za kibenki ndani ya Twiga Bancorp
Mmoja wa wateja wa Twiga Bancorp akipata maelezo kwa ufupi kuhusiana na huduma mbalimbali zitolewazo na benki hiyo.
Karibu:Baadhi ya Wafanyakazi wa Twiga Bancorp wakiwa nje ya banda lao kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya Mwl.Julius Nyerere,jijini Dar.
TWIGA BANCORP YAENDELEA KUTOA HUDUMA ZAKE NDANI YA VIWANJA VYA SABA SABA JIJINI DAR
Reviewed by crispaseve
on
03:11
Rating:
Reviewed by crispaseve
on
03:11
Rating:






Post a Comment