Header AD

BREAKING NEWS: Taarifa ya msiba wa Ndg. TIBBS ELAD uliotokea leo Dar es salaam


Moja ya taarifa ya kushtua na kuhuzunisha watu kutumiana message ni kuhusu msiba wa aliyekuwa  mwanasheria TIBBS ELAD, watu wa karibu ili kuthibitisha taarifa hiyo.

Dada wa marehemu ambaye jina lake ni Betty amethibitisha kuwa kaka yake TIBBS ELAD amefariki akiwa hospital ya Lugalo.
 Bamiza Blog imepoteza Mdau wake mihimu ...
"Ni masaa kadhaa yamepita tangu ututoke duniani.Hatupo nawe kimwili lakini kiroho upo nasi daima.Tutakukumbuka sana Mzee wetu Mpendwa,Mungu aiongoze familia yako salama hasa katika kipindi hiki kigumu,ndugu Jamaa na Marafiki tunakuombea upumzike kwa amani uncle Tibbs Elad." Sisi Tulikupenda sana lakini Mungu kakupenda Zaidi.
Jina la Bwana Libarikiwe.AMEN
BREAKING NEWS: Taarifa ya msiba wa Ndg. TIBBS ELAD uliotokea leo Dar es salaam BREAKING NEWS: Taarifa ya msiba wa Ndg. TIBBS ELAD uliotokea leo Dar es  salaam Reviewed by crispaseve on 00:16 Rating: 5

No comments

Post AD