Rais Kikwete aongoza Mafunzo ya Wakuu wa Mikoa na Wilaya mjini Dodoma
| Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza wakati mafunzo ya wakuu wa mikoa,makatibu tawala na wakuu wa wilaya inayoendelea katika ukumbi wa St.Gaspar mkoani Dodoma. |
| Baadhi ya Wakuu wa Mikoa na wilaya wanaoshiriki katika mafunzo katika ukumbi wa St.Gaspar mkoani Dodoma(picha na Freddy Maro) |

Post a Comment