Header AD

Uzinduzi rasmi wa Tawi la Chadema Washington DC.

Uongozi wa juu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), katika uzinduzi rasmi wa Tawi la Chadema Washington DC. Kutoka (kushoto) Libe Mwangombe, Mhe. Peter Msigwa,  Mwenyekiti wa tawi Mhe. Kalley Pandukizi,  Mhe. Zitto Kabwe na Mhe. Nassari Joshua mkutano huo ulifanyika kwenye ukumbi wa Mirage Hall uliopo University Of Bld, Hysattsville, Maryland Nchini Marekani.

Mhe. Zitto Kabwe akitoa hutba kuelezea mpango mzima wa mambo yanavyoendelea nchini Tanzania.

Wantazania waishio DMV Nchini Marekani wakiwa katika uzinduzi wa tawi la chadema Washington  DC.

Wana DMV wakisikiliza hutuba ya Mhe. Zitto Kabwe.

Baadhi ya wakereketwa wachukua kadi baada ya uzinduzi wa tawi la chadema Washington.(Picha zote na swahilivilla.blogspot.com)
Reviewed by crispaseve on 06:17 Rating: 5

No comments

Post AD