| Waziri wa Mambo ya Ndani Dkt. Emmanuel Nchimbi(kushoto) , Naibu Waziri wa Habari, vijana ,Utamaduni na Michezo Amos Makalla(katikati) na Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Anna Abdallah wakibadishana mawazo (leo) mjini Dodoma mara baada ya kipindi cha maswali na majibu ya kikao cha pili cha Mkutano wa nane wa Bunge kumalizika. |
Post a Comment