Rais Jakaya Kikwete Akimfariji Katibu Mkuu wa CHADEMA Dk Wilbrod Slaa
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Wilbroad Slaa katika viwanja vya Karimjee kufuatia msiba wa muasisi wa Chama hicho Bob Makani.Picha zote na Freddy Maro-IKULU

Post a Comment