SASA IKWIRIRI IKO SHWARI BAADA YA KASHESHE KUMALIZIKA Mji wa Ikwiriri, wilayani Rufiji, Pwani, ukiwa shwari baada ya sakata la mapigano ya wakulima na wafugaji lililosababishwa na Polisi na hatimaye kumalizika hivi karibuni. Watu kadhaa walipoteza maisha katika sakata hilo. PICHA NA KAMANDA MWAIKENDA
Post a Comment