Header AD

STARS YAKABIDHIWA BENDERA TAYARI KUUA MAMBA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meckysadik (pichani kulia) asubuhi hii ameibakidhi bendera timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars katika kambi yao, hoteli ya Tansoma, eneo la Gerezani, Dar es salaam kwa ajili ya safari yao ya Msumbiji kesho kucheza na wenyeji, Mambas Jumapili katika mechi ya kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Mataifa ya Afrika mwakani nchini Afrika Kusini.

Beki Kelvin Yondan

Kiungo mkabaji Frank Damayo

Mabakidhiano ya bendera

Katibu wa TFF, Angetile Osiah akkzungumza

Rais wa TFF, Leodegar Tenga akizungumza 

Kocha wa Taifa Stars, Kim Poulsen akijadiliana na Msaidizi wake, Sylvester Marsh

Kiungo Haruna Moshi 'Boban' akisikiliza kwa makini

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meckysaidk akizungumza kwa hisia

Kocha wa makipa wa Taifa Stars, Juma Pondamali kushoto akiwa Msemaji wa Azam FC, Jaffar Iddi 
Reviewed by crispaseve on 05:20 Rating: 5

No comments

Post AD