Header AD

SHEREHE ZA KUMBUKUMBU YA VITA VYA MAJIMAJI 2013 ZAFANA HAPO JANA MJINI SONGEA

Mheshimiwa  Balozi Hamisi Kagasheki (MB)Waziri wa Maliasili na Utalii akisalimiana na wageni toka Lichinga Msumbiji.
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe Balozi Hamisi Kagasheki(MB) akisalimiana na Wazee wa Jadi.
Mhe Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Hamisi Kagasheki (MB) Akivalishwa Vazi la kijadi.
Mhe.Balozi Hamisi Kagasheki (MB)Waziri wa Maliasili na Utalii akiweka Ngao .
 Baadhi ya wazee  wakiwa wameshika Silaha za Jadi walizotumia mababu zetu kupigania dhidi ya kupinga utawala wa Wakoloni wa Kijerumani
 Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabit Mwambungu akiweka Sime.
Kamanda wa Jeshi la wananchi akiweka upinde.Picha zote na Hamza Mashole
Reviewed by crispaseve on 02:23 Rating: 5

No comments

Post AD