Header AD

TIMU YA IKULU ZANZIBAR YAICHAPA TIMU YA IKULU YA DAR ES SALAAM MABAO 4 KWA 2

 DSC_0022 Amani 
Mchezaji wa Timu ya Ikulu ya Zanzibar Mpira wa miguu Ali Mwinyi (kulia) akijaribu kumcheza Shaaban Kasanga wa Timu ya ikulu Dar es Salaam,katika mchezo wa Kirafiki katika kusherehekea wiki ya Pasaka,katika mchezo huo uliochezwa leo katika Uwanja wa Amaan Studium,Ikulu Zanzibar ilitoka kifua mbele kwa mabao 4-2.
DSC_0017
Mchezaji wa Timu ya mpira wa mikono Netball ya Ikulu ya Dar es Salaam Haika Masoud akimzuia Beshuu Abdalla wa Ikulu ya Zanzibar,wakati wa Mchezo wa Kirafiki katika michezo ya Sherehe za Pasaka,mchezo huo ulichezwa viwanja vya Amani Nje,Ikulu ya zanzibar iliifunga Ikulu ya Dar es Salaam kwa vikapu 26-14.Picha na Ramadhan
Othman Ikulu.
Reviewed by crispaseve on 09:58 Rating: 5

No comments

Post AD