
Mhe.
Waziri Bernard K. Membe (Mb), akisaini Kitabu cha Maombolezo cha Waziri
Mkuu wa kwanza mwanamke wa Uingereza katika Ubalozi wa Uingereza nchini
Tanzania, uliopo jijini Dar es Salaam. Hayati Bibi Margaret Thather
amefariki akiwa na umri wa miaka 87 na anakumbukwa kwa kuwa mwanamke
mwenye ushawishi wa mkubwa katika siasa za Uingereza na kwa kuleta
mageuzi ya kisiasa nchini humo.

Mhe.
Waziri Membe akiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Balozi Dianna
Melrose, Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, mara baada ya
kuwasili katika Ubalozi huo.

Waziri
Membe akiwa katika mazungumzo machache na Balozi wa Uingereza nchini
Tanzania, Mhe. Dianna Melrose, mara baada ya kusaini Kitabu cha
Maombolezo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa kwanza mwanamke wa Uingereza,
Hayati Bibi Margaret Thatcher.Picha na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Reviewed by crispaseve
on
03:07
Rating:

Post a Comment