wahusika wa jengo lililoporomoka dar es salaam wafikishwa kwa Pilato
Mtuhumiwa namba moja wa mashitaka
24 ya kuua bila kukusudia Raza Hussein Ladha (kushoto) akiwa chini ya
ulinzi wakati alipofikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu
jijini Dar es Salaam pamoja na watuhumiwa wenzake kumi.
Mtuhumiwa
namba moja wa mashitaka 24 ya kuua bila kukusudia Raza Hussein Ladha
(kulia) na watuhumiwa wenzake kumi wakisubiri kupandishwa kizimbani,
katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam
Mtuhumiwa
namba moja wa mashitaka 24 ya kuua bila kukusudia Raza Hussein Ladha
(aliyevaa kanzu nyuma) akiwa na watuhumiwa wenzake mara baada ya
kupandishwa kizimbani na watuhumiwa wenzake kumi, katika Mahakama ya
Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam. Picha na Francis Dande
Reviewed by crispaseve
on
08:18
Rating:


Post a Comment