IRINGA WAZIPOKEA TUZO ZA SAFARI LAGER KWA SHANGWE
Mkuu
wa Mkoa wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma, akiwa ameshikilia Tuzo ya
Bia ya Safari Lager mara baada ya kuipokea mkoani kwake mwishoni mwa
wiki ikiwa ni ziara maalum ya Tuzo hizo kusherehekea pamoja na
Watanzania Ushindi wa Bia hiyo ya Kitanzania barani Afrika.Ziara ya Tuzo
za Bia ya Safari Lager inayozalishwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL)
ilikuwa Mkoani Iringa.Kulia ni Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo
Mkuu
wa Mkoa wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma, akizungumza na wananchi wa
Mji wa Iringa katika Uwanja wa Mwembe Togwa wakati upokeaji Tuzo za Bia
ya Safari Lager mkoani kwake mwishoni mwa wiki ikiwa ni ziara maalum ya
Tuzo hizo kusherehekea pamoja na Watanzania Ushindi wa Bia hiyo ya
Kitanzania barani Afrika.Ziara ya Tuzo za Bia ya Safari Lager
inayozalishwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) ilikuwa Mkoani Iringa.
Kulia ni Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo
Meneja
wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo (kulia) na Mkoa wa Mkuu wa
Mkoa wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma wakinyanyua Tuzo za Bia ya
Safari Lager ilizoshinda katika mashindano ya Bia Afrika yaliyofanyika
nchini Ghana. Tukio hilo lilifanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja
vya Mwembe Togwa mjini Iringa wakati wa ziara maalum ya Kampuni ya Bia
Tanzania (TBL) kuonesha Tuzo ilizoshinda Bia yake ya Safari Lager.
Mkuu
wa Mkoa wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma, akiwa ameshikilia Tuzo ya
Bia ya Safari Lager mara baada ya kuipokea mkoani kwake mwishoni mwa
wiki ikiwa ni ziara maalum ya Tuzo hizo kusherehekea pamoja na
Watanzania Ushindi wa Bia hiyo ya Kitanzania barani Afrika.Ziara ya Tuzo
za Bia ya Safari Lager inayozalishwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL)
ilikuwa Mkoani Iringa.

Post a Comment