Header AD

NMB YAWAPA MAFUNZO WAJASIRIAMALI JIJINI MWANZA

P1510422Mkuu wa kitengo cha mikopo midogo na ya kati, Filbert  Mponzi akitoa maada kwa wajasilia mali    iliyohusu umuhimu wa kuandika mchanganuo wa biashara kwa mjasilia mali.
P1510450Sehemu ya wajasilia mali wanaowezeshwa na benki ya NMB wakifuatilia maada zilizoendeshwa wakati wa semina hiyo.
P1510462Bw. Harun Manyama Ungura mwenyekiti wa Mwanza Business Club akifafanua jambo katika mafundisho hayo. P1510489Mkuu wa kitengo cha Akaunti Binafsi NMB, Abdulmajid Nsekela akielezea huduma ambazo mteja wa NMB anafaidika nazo mara awapo na akaunti na NMB
Reviewed by crispaseve on 11:44 Rating: 5

No comments

Post AD