Header AD

Redd's Miss Ustawi wa Jamii kufanyika Mei 17


 Walimbwende wanaowania taji la Redd's Miss Uswawi wa Jamii 2013,wakiwa wameweka pozi kwenye picha ya pamoja  wakati wa mazoezi yao ya kujiandaa na shindano lao hilo linalotarajia  kufanyika Ijumaa hii (mei 17,2013) katika Ukumbi wa SunSirro,Sinza  jijini Dar es Salaam huku wakisindikizwa na Malkia wa Mipasho  Tanzania,Bi. Khadija Kopa na Msanii wa Bongo Fleva,Barnaba.
Reviewed by crispaseve on 04:51 Rating: 5

No comments

Post AD