Header AD

AIRTEL YATOSHA YAINGIA MTAANI KWA MBWEMBWE

Wakwanza
ni muhamasishaji wa huduma ya Airtel Yatosha aliyevalia kijamii ya
maasai Bw Petro Abraham Lucas akiwa na Wafanyakazi wa Airtel wakiwa
wameshikana mikono kama ilivyo katika tangazo lao la gazeti na
televisheni kuashiria kuwa huduma ya Airtel Yatosha kifurushi cha SIKU
imeboreshwa na sasa ni masaa 25, ishara hiyo ilifanyika mwishoni mwa
wiki kwenye barabara ya Ali Hassan Mwinyi.
Mkuu wa kitengo cha Biashara mpya cha Airtel Bw, Godfrey Mugambi akiwa na  wafanyakazi wenzake wakiwa wameshikana mikono kuonyesha kweli Airtel  Yatosha.
Wafanyakazi wa Airtel Tanzania makao makuu Dar es salaam wakiingia barabarani huku  wameshikana mikono kwa maandamano ikiwa ni tukio maalum la kuitambulisha TOSHA 24+1=25.
Kikundi cha Airtel yatosha kikitoa burudani katika barabara ya Ali Hassan
Mwinyi wakati ambapo wafanyakazi wote wa Airtel jijini Dar e salaam
waliposhikana mikono kuashiria kuboreshwa kwa huduma yao ya Airtel
Yatosha kwa wateja ambayo sasa imeboreshwa zaidi ili kumuongezea mteja
muda zaidi wa kutumia kifurushi chake cha siku kwa masaa 25 toka
alipojiunga. Ili mteja kujiunga anatakiwa kupiga *149*99# , tukio hili
lilifanyika mwishoni mwa wiki katika barabara hiyo.
Wafanyakazi wa Airtel toka vitengo mbalimbali wakiwa wamejipanga na kushikana  mikono kuashiria kuboreshwa kwa huduma yao ya Airtel Yatosha kwa wateja  ambayo sasa imeboreshwa zaidi ili kumuongezea mteja muda zaidi wa  kutumia kifurushi chake cha siku kwa masaa 25 toka alipojiunga. Ili  mteja kujiunga anatakiwa kupiga *149*99# , tukio hili lilifanyika  mwishoni mwa wiki katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi,jijini Dar.
Reviewed by crispaseve on 03:25 Rating: 5

No comments

Post AD