Header AD

Japhet kaseba amsambaratisha Rasco Simwanaa wa malawi


Bondia Japhet Kaseba kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana masumbwi na Rasco Simwanza wa Malawi wakati wa mpambano wao wa Ubingwa wa Kimataifa wa PST mpambano uliofanyika Dar es salaam jana. Kaseba alishinda kwa TKO ya raundi ya tano 
Bondia Japhet Kaseba kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana masumbwi na Rasco Simwanza wa Malawi wakati wa mpambano wao wa Ubingwa wa Kimataifa wa PST mpambano uliofanyika Dar es salaam jana Kaseba alishinda kwa TKO ya raundi ya tano 
Bondia Rasco Simwanza kutoka Malawi kushoto akipambana na Japhet Kaseba wakati wa mpambano wao wa ubingwa wa Kimataifa wa PST kaseba alishinda raundi ya tano
Bondia Japhet Kaseba akiwa amevishwa mkanda wake wa kimataifa wa PST
Bondia Kaseba akishangilia ushindi
Reviewed by crispaseve on 11:09 Rating: 5

No comments

Post AD