Kala Jeremiah akikabidhi tuzo yake kwa mama mzazi wa Albert Mangweha, Bi. Denisia Mangweha. Kala akisalimiana na dada yake Ngwea, Bi. Magreth Kenneth Mangweha, katika kaburi la baba yao mzazi mzee Kenneth Mangweha.… Kala Jeremiah akikabidhi tuzo yake kwa mama mzazi wa Albert Mangweha, Bi. Denisia Mangweha. Kala akisalimiana na dada yake Ngwea, Bi. Magreth Kenneth Mangweha, katika kaburi la baba yao mzazi mzee Kenneth Mangweha. Kala, ndugu wa marehemu Ngwea na alioambatana nao wakiwa kwenye gari kuelekea makaburini. Msanii wa Hip Hop aliyejinyakulia tuzo tatu Jumamosi iliyopita wakati
wa sherehe za utoaji tuzo za Kili, Kala Jeremiah, leo amemuezi mwana
Hip Hop mwenzake aliyefariki dunia Mei 28 mwaka huu nchini Afrika
Kusini, Albert Mangweha kwa kumpelekea tuzo yake moja ya Wimbo Bora wa
Hip Hop ambayo amemkabidhi mama yake mzazi Bi. Denisia Mangweha nyumbani
kwake eneo la Kihonda mkoani Morogoro. (PICHA NA DUSTAN SHEKIDELE / GPL, MOROGORO)
Post a Comment