Header AD

KUTOKA BIG BROTHER:UGANDA WAAGA RASMI, WAKENYA WAMTOSA FEZA,AOKOLEWA NA KURA ZA WAGANA,SIERRA LEON NA WATANZANIA


Usiku wa jana ulikuwa ni usiku wa huzuni kwa wenzetu
 waganda baada ya mshiriki pekee aliyekuwa amebaki
 naye kuyaaga mashindano lakini  ilikuwa ni siku ya
 furaha zaid kwa watanzania baada ya Feza aliyekuwa
 hatarini kutoka kutoka na badala yake votes zimemuokoa
 na ataendelea kuwemo mjengoni pamoja na mtanzania
 mwingine Nando, na nchi zilizopiga kura,tungetegemea
 majirani zetu Uganda na Kenya kuvote kwa Feza 
 lakini ilikuwa kinyume,ni Tanzania na nchi za west africa,Ghana &Sierra leon 
kitu kilicholeta mtafaruku mkubwa on social networks,na 
zamu hii Mwakilish wa 
kenya yuko on danger,do u think ni nini kitatokea..lets wait n see
Reviewed by crispaseve on 06:59 Rating: 5

No comments

Post AD