Header AD

Serengeti Breweries yawapongeza Washindi wa Fainali za Guinness Football Challenge.

IMG_0101
Serengeti Breweries Ltd imefanya hafla ya kuwapongeza washiriki wa Guinness Football Challenge, pamoja na kuwapongeza washindi wawili waliofika hadi fainali za mashindano hayo ya kukuza vipaji vya mpira. yafuatayo ni matukio mbalimbali katika picha yanayoonesha hafla hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo katika Hoteli ya  JB Belmont na kuhudhuriwa Viongozi waandamizi wa SBL, akiwemo Mkurugenzi wa Masoko wa SBL, Epraimu Mafuru anayeonekana kuchezea mpira pichani juu na wageni mbalimbali waalikwa pamoja na wanahabari. IMG_0105Meneja wa bia ya Guinness kutoka kampuni ya bia ya Serengeti akionyesha uwezo wake katika kuchezea mpira IMG_0108Mmoja wa washindi pekee waliofika fainali Guinness Football Challenge kutoka Tanzania akionesha manjonjo IMG_0113Mkurugenzi wa Masoko wa SBL, Epraimu Mafuru kulia akiwa pamoja na  maofisa wengine wa kampuni hiyo wakifuatilia jambo katika hafla hiyo IMG_0148Baadhi ya washiriki hao wakiwa katika picha na wageni waalikwa Mkurugenzi wa Masoko wa SBL, Epraimu Mafuru akiwa na washindi pekee waliofika hadi fainali kutoka Tanzania
Mkurugenzi wa Masoko wa SBL, Epraimu Mafuru  akizungumza katika hafla hiyo huku akiwa na washindi pekee waliofika hadi fainali kutoka Tanzania Mmoja wa washindi pekee waliofika  fainali Guinness Football Challenge kutoka Tanzania akionesha manjonjo 
Mmoja wa washindi pekee waliofika fainali Guinness Football Challenge kutoka Tanzania akionesha manjonjo
Reviewed by crispaseve on 02:57 Rating: 5

No comments

Post AD